Details zur Publikation

Kategorie Textpublikation
Referenztyp Buchherausgaben
Titel (primär) A thematic atlas of nature’s benefits to Dar es Salaam : Critical reasons for greening the city and for keeping urban and peri-urban ecosystems intact. Kitabu cha ramani ya faida za mazingira Dar es Salaam : Sababu muhimu kwa kusaidia mimea na kwa kuhifadhi ecosystems mjini
Herausgeber Karutz, R.; Berghöfer, A.; Moore, L.R.; van Wyk, E.
Erscheinungsjahr 2019
Department SUSOZ; UPOL
Seite bis 76
Sprache englisch
Abstract Dar es Salaam (DSM) is the cultural, political and economic centre of Tanzania – and one of the most vibrant cities in East Africa. It is also one of the fastest growing metropoles in the world. How can the city government ensure that all citizens of Dar es Salaam live in a safe environment, enjoy a good quality of life and make a sustainable living? Increasingly, cities around the world have recognised that healthy and functioning ecosystems within and around urban areas provide solutions to important challenges such as these. This Thematic Atlas aims to show how nature’s benefits protect cities, sustain them and make them liveable. More specifically, this Thematic Atlas supports Dar es Salaam’s journey with nature.
  
Dar es Salaam (DSM) ni kituo cha kitamaduni, kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania - na mojawapo ya miji inayoshamiri zaidikatika Afrika Mashariki. Pia ni moja ya majiji yanayokua kwa kasi zaidi duniani. Hii inaleta changamoto: Ni jinsi gani ya kuhakikisha kwamba wakazi wote wa Dar es Salaam wanaishi katika mazingira salama, wanafurahia maisha mazuri katika jamii zao, na wanaweza kuwa na maisha endelevu? Mazingira yanayosabahiyana ndani na karibu na maeneo ya mijini yanatoa ufumbuzi wa changamoto kuu za miji. Miji duniani kote imeanza kutambua hili. Na hii ndicho kinacholengwa kuonyeshwa katika kitabu hiki cha ramani: Faida za mazingira asilia ni ulinzi wa miji, kuifanya iwe endelevu na kuifanya iwe ya kuishi maisha yaliyo bora. Kitabu hiki cha ramani kinasaidia safari ya Dar es Salaam kwenye mazingira asilia.
dauerhafte UFZ-Verlinkung https://www.ufz.de/index.php?en=20939&ufzPublicationIdentifier=22490
Karutz, R., Berghöfer, A., Moore, L.R., van Wyk, E. (eds., 2019):
A thematic atlas of nature’s benefits to Dar es Salaam : Critical reasons for greening the city and for keeping urban and peri-urban ecosystems intact. Kitabu cha ramani ya faida za mazingira Dar es Salaam : Sababu muhimu kwa kusaidia mimea na kwa kuhifadhi ecosystems mjini
Helmholtz Centre for Environmental Research – UFZ, ICLEI Local Governments for Sustainability – Africa Secretariat, Leipzig, Germany; Cape Town, South Africa, 76 pp.